Luke 15:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kwenda nyumbani. Kisha huwaita rafiki zake na majirani, na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimempata kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
mpaka nyumbani. Kisha utakwenda kwa majirani na rafiki zako na utawaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimempata kondoo wangu aliyepotea!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake akiwaambia, Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kwenda nyumbani. Kisha huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, nimempata kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kwenda nyumbani. Kisha huwaita rafiki zake na majirani, na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimempata kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anapofika nyumbani, atawaita rafiki zake na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu aliyepotea.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akifika kwao anawaita rafiki zake na majirani zake na kuwaambia: Furahini pamoja nami! Kwani nimemwona kondoo wangu aliyepotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye anaporudia kwake, atawaita warafiki na jirani zake na kuwaambia: ‘Mufurahi pamoja nami, kwa sababu nimemupata kondoo wangu aliyepotea!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akija kwake huwaila rafiki zake na jirani zake, huwaambia, Furahini pamoja nami, kwa maana nimemwona kondoo wangu aliyepotea.