Luke 15:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuipata, yeye huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile sarafu yangu ya fedha iliyopotea.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na akiisha kuiona, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimeipata tena shilingi ile iliyonipotea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na akiiona, atawaita rafiki na jirani zake na kuwaaambia, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata sarafu niliyoipoteza!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake akisema, Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akisha kuipata, huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami, nimeipata ile sarafu yangu ya fedha iliyopotea.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akiisha kuipata, huwaita rafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile sarafu yangu ya fedha iliyopotea.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na akiisha kuiona, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimeipata tena shilingi ile iliyonipotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiipata, atawaita rafiki na jirani zake na kusema, ‘Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akiiona anawaita shoga zake na majirani zake na kusema: Furahini pamoja nami! Kwani nimeiona shilingi yangu, niliyoipoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na akiisha kuiona, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimeipata tena shilingi ile iliyonipotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapokipata atawaita warafiki na jirani zake na kuwaambia: ‘Mufurahi pamoja nami kwa sababu nimepata kikoroti kile cha feza nilichokipoteza!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, aionapo, huwaita shoga zake na jirani zake, hunena, Furahini pamoja nami, kwa maana nimeiona ile mpia niliyoipoteza.