Luke 16:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, mlangoni pa huyo tajiri kulikuwa na maskini mmoja jina lake Lazaro, ambaye alikuwa amejaa vidonda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo penye mlango wake aliishi maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwepo pia maskini mmoja aliyeitwa Lazaro ambaye mwili wake ulikuwa umejaa vidonda. Mara nyingi aliwekwa kwenye lango la tajiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake Lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, mlangoni pa huyo tajiri kulikuwa na maskini mmoja jina lake Lazaro, ambaye alikuwa amejaa vidonda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo penye mlango wake aliishi maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo penye mlango wake aliishi maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, mlangoni pa huyo tajiri kulikuwa na maskini mmoja jina lake Lazaro, ambaye alikuwa amejaa vidonda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwako hata maskini, jina lake Lazaro, alikuwa amewekwa mlangoni pake kwa kuwa mwenye vidonda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile kulikuwa masikini mumoja aliyeitwa Lazaro aliyekuwa na vidonda mwili wote, alibaki akilala mbele ya mulango wa nyumba ya yule tajiri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, hutupwa mlangoni pake, ana vidonda,