Luke 16:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo aliyekuwa tajiri akasema: ‘Basi babu, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akasema, ‘Basi, nakuomba, umtume Lazaro aende nyumbani mwa baba yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tajiri akasema, ‘Basi, nakuomba baba, mtume Lazaro nyumbani kwa baba yangu duniani,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo aliyekuwa tajiri akasema: Basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo aliyekuwa tajiri akasema: ‘Basi babu, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Akasema, ‘Basi, nakuomba, umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Akasema, ‘Basi, nakuomba, umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo aliyekuwa tajiri akasema: ‘Basi babu, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipojibu: Nakuomba, baba, umtume, aende nyumbani kwa baba yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu tajiri akasema: ‘Basi, baba ninakuomba umutume Lazaro kwa nyumba ya baba yangu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, Bassi, nakuomba, Baha, umtume nyumnani kwa haha yangu;