Luke 16:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye mateso.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maana ninao ndugu watano. Awaonye, ili wasije nao wakafika mahali hapa pa mateso.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nina ndugu watano. Mtume ili akawape tahadhari wasije wakafika mahali hapa pa mateso.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
maana ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye mateso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye mateso.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maana ninao ndugu watano. Awaonye, ili wasije nao wakafika mahali hapa pa mateso.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maana ninao ndugu watano. Awaonye, ili wasije nao wakafika mahali hapa pa mateso.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye mateso.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninao ndugu watano; aje, awashuhudie mambo ya hapa, nao wasije hapa penye maumivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana niko na wandugu watano. Aende kuwaonya, kusudi nao vilevile wasikuje katika nafasi hii ya mateso.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana nina ndugu watano; awashuhudie, wasije nao mahali hapa pa adhabu.