Luke 16:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Abrahamu akamwambia: ‘Ndugu zako wanao Mose na manabii; waache wawasikilize hao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wana Maandiko ya Musa na Manabii, wawasikilize hao.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Ibrahimu akasema, ‘Wanayo Sheria ya Musa na maandishi ya manabii kwa ajili ya kuyasoma; wasikilize na kutii.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Abrahamu akamwambia: Ndugu zako wanao Mose na manabii; waache wawasikilize hao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Abrahamu akamwambia: ‘Ndugu zako wanao Mose na manabii; waache wawasikilize hao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Abrahamu akamjibu, ‘Ndugu zako wana Mose na Manabii, wawasikilize hao.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ibrahimu akamjibu, ‘Ndugu zako wana Torati ya Musa na Manabii, wawasikilize hao.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Abrahamu akamwambia: ‘Ndugu zako wanao Mose na manabii; waache wawasikilize hao.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aburahamu aliposema: Wanao Mose na Wafumbuaji, na wawasikilize wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abrahamu akajibu: ‘Wandugu zako wako na maandiko ya Musa na ya manabii, wayasikilize!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ibrahimu akasema, Wana Musa na manabii; wawasikilize wao.