Luke 16:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamuuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo msimamizi akawaita mmoja mmoja wale waliokuwa wanadaiwa pesa na bwana wake. Akamwuliza wa kwanza, ‘Mkuu wangu anakudai kiasi gani?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmoja mmoja, akamwambia yule wa kwanza: Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamwuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamuuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Unadaiwa nini na bwana wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawaita wadeni wa bwana wake, mmojammoja, akamwambia yule wa kwanza: ‘Unadaiwa kiasi gani na bwana wangu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaita wadeni wa bwana wake kila mmoja, akamwambia wa kwanza: Una deni gani kwa bwana wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaita wadeni wa bwana wake, kila mmoja; akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akamwita kila mutu aliyekuwa na deni ya bwana wake. Akamwuliza kwanza: ‘Deni ya bwana wangu unayokuwa nayo ni yapata gani?’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi akawaita wadeni wa bwana wake killa mmoja, akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu?