Luke 16:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye akamjibu: ‘Mapipa 100 ya mafuta ya zeituni.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, keti haraka, andika hamsini.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akajibu, ‘Vipimo mia moja vya mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike vipimo hamsini.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akamjibu, ‘Ananidai mitungi 100 ya mafuta ya zeituni.’ Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako ya deni, kaa chini, fanya haraka, badilisha iwe mitungi hamsini.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye akamjibu: Mapipa mia ya mafuta ya zeituni. Yule karani akamwambia: Chukua hati yako ya deni, keti haraka, andika hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye akamjibu: ‘Mapipa 100 ya mafuta ya zeituni.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, keti haraka, andika hamsini.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Akajibu, ‘Galoni 800 za mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike galoni 400.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Akajibu, ‘Galoni 800 za mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike galoni 400.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye akamjibu: ‘Mapipa 100 ya mafuta ya zeituni.’ Yule karani akamwambia: ‘Chukua hati yako ya deni, keti haraka, andika hamsini.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposema: Matanaki 100 ya mafuta, akamwambia: Kichukue cheti chako, ukae, uandike 50!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Vipimo mia vya mafuta. Akamwambia, Twaa hati yako, keti upesi, andika hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamujibu: ‘Madebe mia moja ya mafuta ya muzeituni.’ Yule mulinzi wa mali akamwambia: ‘Kamata barua yako ya mapatano ya deni, ikaa upesi na uandike makumi tano.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, Tanaki mia za mafuta. Akamwambia, Twaa khati yako; haya, kaa kitako, andika khamsini.