Luke 17:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alikuwa anasafiri kwenda Yerusalemu. Alipotoka Galilaya alisafiri akipita kando ya mpaka wa Samaria.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia mipakani mwa Samaria na Galilaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akiwa safarini kwenda Yerusalemu alipitia katika mipaka ya Samaria na Galilaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Ikawa, alipokwenda Yerusalemu, akashika njia ya kupita katikati ya Samaria na Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipokuwa katika safari kwenda Yerusalema, akapita katika jimbo la Samaria na la Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemi, alikuwa akipita kati ya Samaria na Galilaya.