Luke 17:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliingia katika mji mdogo, na wanaume kumi walimwendea. Hawakumkaribia, kwa sababu wote walikuwa na ugonjwa mbaya sana wa ngozi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa anaingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma walikutana naye, wakasimama kwa mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoingia kijijini akakutana na waume kumi wenye ukoma waliokuwa wamesimama mbali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa akiingia katika kijiji kimoja, watu kumi wenye ukoma wakafika kukutana naye. Walisimama kwa mbali
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokuwa akiingia kijiji kimoja, wakakutana nae watu kumi wenye ukoma, waliosimama mbali;