Luke 17:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipowaona, akasema, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Wale watu kumi walipokuwa wanakwenda kujionesha kwa makuhani, waliponywa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipowaona aliwaambia, Nendeni, mkajioneshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowaona akawaambia: Nendeni kujionyesha kwa watambikaji! Ikawa, walipokwenda wakatakaswa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipowaona aliwaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipowaona, akawaambia: “Mwende kwa makuhani kusudi wapate kuwachunguza.” Nao walipokuwa katika njia kwenda kule, wakaponyeshwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipowaona, akawaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa katika kwenda kwao wakatakasika.