Luke 17:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena watawaambia, Tazama, kule! Tazama, huku! Msiondoke mahali mlipo, wala msiwafuate;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu watawaambia, ‘Tazameni, yuko kule!’ au ‘Tazameni, yuko hapa!’ Kaeni pale mlipo; msitoke kwenda kumtafuta.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na watu watawaambieni: Tazameni yuko hapa; ninyi msitoke wala msiwafuate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ au ‘Tazameni, yupo hapa!’ lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ Au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ Au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena watawaambia, Tazama, kule! Tazama, huku! Msiondoke mahali mlipo, wala msiwafuate;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi watu watakapowaambia: Tazameni huko! Tazameni hapa! msiende huko, wala msiwafuate!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena watawaambia, Tazama, kule! Tazama, huku! Msiondoke mahali mlipo, wala msiwafuate;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu watawaambia: ‘Yuko kule!’ au ‘Yuko hapa!’ Lakini musiondoke kwa kuwafuata kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na watawaambieni, Tazama huko, au tazama huko! Msiondoke hapo mlipo wala msiwafuate.