Luke 17:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, hadi siku ile Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu walikuwa wakila, wakinywa, wakioa na kuolewa hata siku Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ilikuja na kuwaangamiza wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo wa Noa watu walikuwa wakila, wakinywa, wakioa na kuolewa mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina, gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliendelea kula na kunywa, kuoa na kuolewa mpaka wakati ule Noa alipoingia katika safina. Gharika ikatokea na kuwaangamiza wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwa wakila, hata wakinywa, walikuwa wakioa, hata wakiozwa mpaka siku, Noa alipoingia katika chombo kikubwa, yakaja mafuriko makubwa ya maji, yakawaangamiza wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zile watu walikuwa wakikula na kunywa, wakioa na kuolewa mpaka ilipotimia siku ile Noa alipoingia ndani ya chombo. Halafu mvua kubwa ikanyesha na kuwaangamiza wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walikuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakiozwa, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, gbarika ikafika, ikawaangamiza wote.