Luke 17:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na madini ya kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini siku ile Lutu alipoondoka Sodoma, ikanyesha mvua ya moto na kiberiti kutoka mbinguni ukawaangamiza wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini siku ile Lutu aliyotoka Sodoma kulinyesha moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini siku ambayo Lutu alitoka Sodoma, moto na baruti vilinyesha kutoka mbinguni na kuwaua wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na madini ya kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, ikanyesha mvua ya moto na kiberiti kutoka mbinguni ukawaangamiza wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini siku ile Lutu alipoondoka Sodoma, ikanyesha mvua ya moto na kiberiti kutoka mbinguni ukawaangamiza wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini siku ile Lutu aliyotoka Sodoma kulinyesha moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na madini ya kiberiti vikanyesha kama mvua kutoka mbinguni na kuwaangamiza wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku, Loti alipotoka Sodomu, ndipo, moto uliochanganyika na mawe ya kiberitiberiti ulipotoka mbinguni kama mvua, ukawaangamiza wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini siku ile Lutu aliyotoka Sodoma kulinyesha moto na kibiriti kutoka mbinguni vikawaangamiza wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, moto na kiberiti vikashuka kama mvua toka mbinguni na kuwaangamiza wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta siku ile amhayo Lut alitoka Sodom, kukanya moto na kiberiti kutoka mbinguni, vikawaangamiza wote.