Luke 17:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usiku ule watu wawili wataweza kuwa wamelala katika chumba kimoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja, mmoja atachukuliwa, mwingine ataachwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawaambiani: Usiku ule watu wawili watakaolalia kitanda kimoja, mmoja atapokewa, mwenzake ataachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawaambia ninyi: katika usiku ule, watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja; mumoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nawaambieni, Usiku ule watu wawili watakuwa katika kitanda kimoja, mmoja atatwaliwa, na mmoja ataachwa.