Luke 17:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” [
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. [
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. [
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. [
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga nafaka pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” [
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wake wawili watakaokuwa wakisaga pamoja, mmoja atapokewa, mwenzake ataachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa. [
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja, mumoja atapelekwa na mwingine ataachwa. [
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanawake wawili watakuwa wakisaga pamoja, mmoja atatwaliwa, na mmoja ataachwa.