Luke 17:36 — Compare Translations

12 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.]
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wawili watakaokuwako shambani, mmoja atapokewa, mwenzake ataachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wawili watakuwa katika shamba moja, mumoja atapelekwa na mwingine ataachwa.]”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wawili watakuwa mashambani; mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.