Luke 17:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, huyo mtu atamshukuru mtumishi huyo kwa kutimiza yale aliyoamriwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Atampa asante yule mtumwa, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtumishi asipewe shukrani maalumu kwa kufanya kazi yake. Anafanya kile alichoagizwa na mkuu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, huyo mtu atamshukuru mtumishi huyo kwa kutimiza yale aliyoamuriwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, huyo mtu atamshukuru mtumishi huyo kwa kutimiza yale aliyoamriwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Atampa asante yule mtumwa, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Atamwambia mtumwa asante, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Atampa asante yule mtumwa, kwa sababu ameyafanya aliyoagizwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi bwana wa yule mutumishi atamushukuru kwa sababu amefanya sawa vile alivyoamuriwa? Hapana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! amshukuru yule mtumishi kwa sahahu alifanya alivyoamriwa? Sidhani.