Luke 18:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watu wawili walienda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Siku moja Farisayo na mtoza ushuru walikwenda Hekaluni kuomba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Watu wawili walipanda kwenda Hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtoza ushuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wawili walipanda kwenda Patakatifu kuomba. Wa kwanza alikuwa Fariseo, wa pili mtoza kodi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Siku moja watu wawili walienda kuomba kwenye hekalu; mumoja alikuwa Mufarisayo na mwingine alikuwa mulipishaji wa kodi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wawili walipanda hekaluni kusali; mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru.