Luke 18:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia, watu walikuwa wakimletea Isa watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamletea na watoto wachanga ili awaguse; lakini wanafunzi walipoona waliwakemea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu waliwaleta hata watoto wao wadogo kwa Yesu ili awawekee mikono kuwabariki. Lakini wafuasi walipoona hili, waliwakataza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia, watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia, watu walikuwa wakimletea Isa watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamletea na watoto wachanga ili awaguse; lakini wanafunzi walipoona waliwakemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono yake. Wanafunzi walipowaona, wakawazuia kwa maneno makali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamletea hata vitoto, awaguse. Lakini wanafunzi walipowaona waliwatisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamletea na watoto wachanga ili awaguse; lakini wanafunzi walipoona waliwakemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wamoja walimuletea Yesu hata watoto wadogo kusudi awaguse. Wanafunzi walipoona vile, wakawakaripia watu wale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakamletea hatta watoto wachanga illi awaguse; lakini wanafunzi wake walipoona wakawakaripia.