Luke 18:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na unazijua amri zake: ‘Usizini, usiue, usiibe, usiseme uongo, na ni lazima uwaheshimu baba na mama yako.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Unazijua amri: Usizini; usiue; usiibe; usitoe ushahidi wa uongo; waheshimu baba yako na mama yako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unazifahamu amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unazijua amri: ‘Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Waheshimu baba yako na mama yako.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maagizo unayajua, ya kwamba: Usizini! Usiue! Usiibe! Usisingizie! Mheshimu baba yako na mama yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unajua jinsi amri zinavyosema kwamba: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, uwaheshimu baba yako na mama yako.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wazijua amri, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Waheshimu baba yako na mama yako.