Luke 18:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu waliposikia hili, wakasema, “Sasa ni nani anayeweza kuokolewa?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliosikia haya wakauliza, “Kama ni vigumu hivyo, ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliosikia haya wakauliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu waliposikia hayo, wakasema, “Nani basi, atakayeokolewa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao waliosikia wakasema: Ikiwa hivyo, yuko nani awezaye kuokoka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliosikia walisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao waliosikia maneno haya wakasema: “Ni nani basi anayeweza kuokolewa?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliposikia, wakasema, Nani, bassi, awezae kuokoka?