Luke 18:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mji huo alikuwako mjane mmoja aliyekuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika mji huo palikuwa na mwanamke mjane, aliyekuwa akimwendea-endea, akisema, Nipatie haki na adui wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na katika mji huo huo alikuwepo mwanamke mjane. Huyu alimjia mwamuzi huyu mara nyingi akimwambia, ‘Kuna mtu anayenitendea mambo mabaya. Nipe haki yangu!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane, ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mji huo alikuwako mjane mmoja ambaye alikuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mji huo alikuwako mjane mmoja ambaye alikuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika mji huo palikuwa na mwanamke mjane, aliyekuwa akimwendeaendea, akisema, Nipatie haki na adui wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee apate haki yake kutoka kwa adui yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mle mjini mlikuwa na mwanamke mjane aliyemwendea mara kwa mara na kusema: Niamua na mpingani wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika mji huo palikuwa na mwanamke mjane, aliyekuwa akimwendea-endea, akisema, Nipatie haki na adui wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile katika muji ule, kulikuwa mujane mumoja aliyekuwa akimwendea yule mwamuzi akimusihi: ‘Unipatie haki yangu juu ya mupinzani wangu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na katika mji huo palikuwa na mjane aiiyemwendeaendea, akisema, Nipatie haki yangu, ukaniokoe na adui yangu.