Luke 18:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na uhai wa milele wakati ujao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye hatapewa mara nyingi zaidi ya hivyo katika maisha haya, na hatimaye kupata uzima wa milele ujao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
asiyepokea zaidi mara nyingi katika zamani hizi, na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
atapokea zaidi ya kile alichoacha. Atapokea mara nyingi zaidi katika maisha haya. Na katika ulimwengu ujao atapata mara nyingi zaidi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele wakati ujao.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na uhai wa milele wakati ujao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye hatapewa mara nyingi zaidi ya hivyo katika maisha haya na hatimaye kupata uzima wa milele ujao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye hatapewa mara nyingi zaidi ya hivyo katika maisha haya, na hatimaye kupata uzima wa milele ujao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
asiyepokea zaidi mara nyingi katika wakati huu, na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atapokea mengi zaidi wakati huu wa sasa, na uhai wa milele wakati ujao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asiporudishiwa na kuongezwa mara nyingi siku hizi za kuwapo nchini; tena siku zile zitakazokuja ataupata nao uzima wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
asiyepokea zaidi mara nyingi katika zamani hizi, na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atapokea mara mingi zaidi katika wakati wa sasa. Na katika wakati utakaokuja atapokea uzima wa milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illa atapokea zaidi marra nyingi sasa wakati huu, na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.