Luke 18:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye siku ya tatu atafufuka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watamchapa kwa mijeledi kisha watamuua. Lakini katika siku ya tatu baada ya kifo chake, atafufuka kutoka kwa wafu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watampiga mijeledi, watamuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tatu atafufuka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye siku ya tatu atafufuka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena watampiga viboko, kisha watamwua. Naye siku ya tatu atafufuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watamupiga fimbo na kisha watamwua. Lakini kwa siku ya tatu kisha kufa kwake atafufuka!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na wakiisha kumpiga mijeledi, watamwua; na siku ya tatu atafufuka.