Luke 18:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kipofu huyo aliposikia umati wa watu wakipita, akauliza nini kilikuwa kikitendeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliposikia kundi la watu linapita barabarani, akauliza, “Nini kimetokea?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliposikia umati wa watu ukipita aliuliza, “Kuna nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposikia, kundi la watu linapita, akauliza: Kuna nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na alipowasikia makutano wakipita, aliuliza, Kuna nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliposikia kundi la watu wakipita, akauliza juu ya mambo yanayopitika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Aliposikia makutano yanapita, akauliza khabari, Kuna nini?