Luke 18:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapaza sauti, akasema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kipofu akapasa sauti yake, akaita, “Yesu, Mwana wa Daudi, tafadhali nisaidie!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapaza sauti, akasema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipopaza sauti akisema: Yesu, mwana wa Dawidi, nihurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi akalalamika akisema: “Yesu Mwana wa Daudi, unisikilie huruma!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daud, unirehemu.