Luke 18:41 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Unataka nikufanyie nini?” Asiyeona akasema, “Bwana, nataka kuona.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona tena.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana Isa, nataka kuona.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wataka, nikufanyie nini? Naye akasema: Bwana, nataka, nipate kuona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Unataka nikufanyie nini?” Akamujibu: “Bwana, ninataka nipate kuona.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na alipomkaribia akamwuliza, Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwami, nipate kuona.