Luke 18:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini, kwa kuwa mjane huyu ananiudhi, nitampatia haki yake, asije akanichosha kwa kunijia daima.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mwanamke huyu ananisumbua. Nikimpa haki yake ataacha kunisumbua. Nisipomsaidia, ataendelea kunijia na anaweza kunishambulia.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini, kwa kuwa mjane huyu ananiudhi, nitampatia haki yake, asije akanichosha kwa kunijia daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa sababu ananisumbua, nitamwamulia mjane huyo, mwisho asije, akanipiga machoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini, kwa kuwa mjane huyu ananiudhi, nitampatia haki yake, asije akanichosha kwa kunijia daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini kwa sababu mujane huyu anazidi kuniuzi nitamupatia haki yake, kusudi asiendelee kufika hapa na kunikasirikisha.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illakini kwa kuwa mjane huyu ameniudhi, nitampatia haki yake, asije akanidhoofisha kwa kunijia daima.