Luke 18:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akatoa mfano huu kwa wale waliojiamini kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia mfano huu watu waliojikinai ya kuwa wao ni wenye haki, wakiwadharau wengine wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwepo baadhi ya watu waliojiona kuwa wenye haki na waliwadharau wengine. Yesu alitumia simulizi hii kuwafundisha:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akatoa mfano huu kwa wale waliojiona kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akatoa mfano huu kwa wale waliojiamini kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia mfano huu watu waliojiamini ya kuwa wao ni wenye haki, wakiwadharau wengine wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kulikuwa na watu waliojiwazia wenyewe kuwa waongofu, wakawabeza wengine, akawaambia mfano huu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia mfano huu watu waliojikinai ya kuwa wao ni wenye haki, wakiwadharau wengine wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Yesu akawaambia mufano huu kwa ajili ya watu waliojiona kuwa wenye haki na kuwazarau wengine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akawaambia mfano huu watu waliojidhani nafsi zao kuwa wenye haki, wakiwadharau wengine wote.