Luke 19:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa akipita katika njia za mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alikuwa anasafiri kupitia katika mji wa Yeriko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa anapita katika njia za mji huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa akipita katika njia za mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa akipita katika njia za mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Alipoingia Yeriko akapita kati ya mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipoingia katika muji Yeriko, akapita katikati yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
AKAINGIA Yeriko akawa akipita katikati yake.