Luke 19:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia, nimepata faida mara kumi zaidi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtumishi wa kwanza alikuja na akasema, ‘Mkuu, nilizalisha mafungu kumi ya pesa kutokana na fungu moja ulilonipa.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: Mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia nimepata faida mara kumi zaidi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia, nimepata faida mara kumi zaidi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi wa kwanza akatokea, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuja wa kwanza, akasema: Bwana, shilingi zako mia zimeleta mia kumi nyingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi wa kwanza akakuja, akasema: ‘Bwana, furushi moja uliyonipatia imefaidia zingine kumi.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kwanza akaja akasema, Bwana, mane yako imepata mane kumi.