Luke 19:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumishi wa pili akaja, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wa pili naye akaja. Akasema, ‘Bwana, fedha yako imeleta faida mara tano zaidi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtumishi wa pili akasema, ‘Mkuu, kwa fungu moja la pesa zako, nilizalisha mafungu matano.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtumishi wa pili akaja, akasema: Mheshimiwa, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumishi wa pili akaja, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wa pili naye akaja, akasema, ‘Bwana, fedha yako imeleta faida mara tano zaidi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wa pili naye akaja. Akasema, ‘Bwana, fedha yako imeleta faida mara tano zaidi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumishi wa pili akaja, akasema: ‘Bwana, faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuja wa pili, akasema: Bwana, shilingi zako mia zimeleta mia tano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi wa pili akakuja akasema: ‘Bwana, furushi moja uliyonipatia imefaidia zingine tano.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaja wa pili, akisema, Mane yako, Bwana, imepata mane tano.