Luke 19:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kisha akaja yule mtumishi mwingine, akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mtumishi mwingine akaingia na akasema, ‘Mkuu, fungu lako la pesa hili hapa. Nilizifunga katika kipande cha nguo na kulificha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Mtumishi mwingine akaja, akasema: Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kisha akaja yule mtumishi mwingine akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kisha akaja yule mtumishi mwingine, akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka salama katika kitambaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuja mwingine wao akasema: Bwana, tazama hapa shilingi zako mia! Nimekuwa nimeziweka katika mharuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mutumishi mwingine akakuja akasema: ‘Bwana, furushi yako ndiyo hii. Niliichunga vizuri nikiifunga ndani ya kitambaa,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaja mwingine akasema, Bwana, tazama, mane yako hii niliyokuwa nayo, imewekwa akiba katika leso: