Luke 19:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyanganyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyang’anyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mfalme akawaambia watu waliokuwa pale, ‘Mnyang'anyeni mtumishi huyu fungu la pesa na mpeni mtumishi aliyezalisha mafungu kumi ya pesa.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: Mnyang'anyeni hizo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyang'anyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyang'anyeni fungu lake la fedha mkampe yule mwenye kumi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyang’anyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyanganyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia walioko: Zichukueni shilingi zake mia, mmpe yule mwenye mia kumi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang’anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mumunyanganye ile furushi moja na kuitoa kwa yule anayekuwa na furushi kumi.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia waliohudhuria, Mnyangʼanyeni mane yake moja mkampe yule mwenye mane kumi.