Luke 19:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini watu wakamwambia mfalme, ‘Mkuu, yule mtumishi ana mafungu kumi tayari.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakamwambia: Lakini Mheshimiwa, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona tayari anayo mafungu kumi?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia: Bwana, anazo mia kumi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwambia: ‘Bwana, amekwisha kuwa na furushi kumi!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(Wakamwambia, Bwana, ana mane kumi).