Luke 19:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang’anywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mfalme akasema, ‘Waliozalisha faida watapata zaidi. Lakini ambao hawakuzalisha faida watanyang'anywa kila kitu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akawajibu: Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba, kila aliye na kitu, ataongezewa, naye yule asiyetumia alicho nacho atanyang'anywa hata kile alicho nacho,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang’anywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
(Akajibu:) Nawaambiani: Kila mwenye mali atapewa; lakini asiye na kitu, atachukuliwa hata kile, alicho nacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang’anywa hata alicho nacho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawajibu: ‘Ninawaambia kwamba mutu anayekuwa na kitu ataongezewa kingine, lakini mutu asiyekuwa na kitu ataondolewa hata kidogo anachokuwa nacho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana nawaambieni, Killa aliye na kitu, atapewa, bali yeye asiye na kitu hatta kile alicho nacho atanyangʼanywa.