Luke 19:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Isa ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza, kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alitaka kumwona Yesu na watu wengine wengi walitaka kumwona Yesu pia. Lakini alikuwa mfupi na hakuweza kuona juu ya watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Yesu ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Isa ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alitaka kumwona Yesu, alivyo, lakini hakuweza, kwa sababu watu walikuwa wengi, naye alikuwa mfupi kwa umbo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyu alikuwa akitafuta kumwona Yesu ni mtu wa namna gani, asiweze kwa sababu ya umati wa watu, maana ni mfupi wa kimo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitaka kuona Yesu ni nani, lakini kwa vile alivyokuwa mutu mufupi, hakuweza kumwona kwa sababu watu walikuwa wengi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akatafuta kumwona Yesu, ni mtu gani, asiweze lakini kwa sababu ya makutano, maana kimo chake alikuwa mfupi.