Luke 19:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama mtu yeyote akiwauliza, ‘Kwa nini mnamfungua?’ Semeni, ‘Bwana anamhitaji.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mtu akiwauliza, kwa nini mnamfungua, mwambieni, Bwana ana haja naye.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mtu atawauliza: Mbona mnamfungua? semeni hivi: Bwana wetu anamtakia kazi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama mutu akiwauliza: ‘Kwa sababu gani munamufungua?’, mumwambie: ‘Bwana yuko na lazima ya kumutumia.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mtu akiwaambieni, Mbona mnamfungua? semeni hivi, Bwana ana haja nae.