Luke 19:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akienda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akaanza kwenda Yerusalemu. Wafuasi walikuwa wanatandaza nguo zao njiani mbele yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza nguo zao barabarani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwenda, wakatandika nguo zao njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipokuwa akienda walitandaza nguo zao njiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa akiendelea, watu walitandika nguo zao katika njia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae alipokuwa akienda, wakatandaza nguo zao njiani.