Luke 19:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika kundi wakamwambia Yesu, “Mwalimu, waambie wafuasi wako wasiseme mambo haya!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu, wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwemo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo palikuwa na Mafariseo mle kundini mwa watu, wakamwambia: Mfunzi, wakaripie wanafunzi wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, wamoja kati ya Wafarisayo waliokuwa katika kundi la watu wakamwambia Yesu: “Mwalimu, uwakaripie wanafunzi wako!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, wakemee wanafunzi wako.