Luke 19:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akisema, “Laiti ungejua, hata wewe leo, yale yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
akisema, “Laiti ungelijua leo kile kinachokuletea amani. Lakini kimefichwa kwako usikijue sasa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akisema: “Laiti ungelijua leo hii yale yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ungaliyatambua na wewe siku hii ya leo yanayokupa utengemano! Lakini sasa yamefichika, macho yako yasiyaone!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akisema: “Kama wewe vilevile ungejua leo hii kitu kinachoweza kukuletea amani! Lakini sasa kitu hicho kimefichwa, nawe hauwezi kukiona!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akasema, Laiti ungalijua siku hii yaliyo ya amani! lakini sasa yamefichwa machoni mwenu;