Luke 19:45 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliingia katika eneo la Hekalu. Akaanza kuwafukuza watu waliokuwa wanauza vitu humo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha, Yesu aliingia Hekaluni, akaanza kuwafukuzia nje wafanyabiashara
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akaingia Hekaluni akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yesu aliingia hekaluni, akaanza kuwafukuza nje wafanyabiashara
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akapaingia Patakatifu, akaanza kuwafukuza wenye kuchuuzia pale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akaingia katika hekalu, akaanza kufukuza wachuuzi
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wakuzao na wanunuao ndani yake; akiwaambia,