Luke 19:46 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akisema, “Imeandikwa: ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala’; lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyang’anyi.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akasema, “Maandiko yanasema, ‘Hekalu langu litakuwa nyumba ya sala.’ Lakini mmeligeuza kuwa ‘maficho ya wezi.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akisema, “Imeandikwa: Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akisema, “Imeandikwa: ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala’; lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala, lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyang’anyi.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akisema, “Imeandikwa: ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala’; lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Imeandikwa: Nyumba yangu sharti iwe nyumba ya kuombea, lakini ninyi mmeigeuza kuwa pango la wanyang'anyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akiwaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuwaambia: “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya maombi.’ Lakini ninyi munaigeuza kuwa nafasi ya kukutania ya wanyanganyi!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.