Luke 19:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani mwake kwa furaha kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zakayo alishuka chini haraka. Alifurahi kuwa na Yesu nyumbani mwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Yesu nyumbani kwake kwa furaha kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani kwake kwa furaha kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, aliposhuka upesi, akampokea na kufurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zakayo akashuka mbio na kumukaribisha kwa furaha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akashuka upesi, akamkaribisha kwa furaha.