Luke 19:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Ameenda kuwa mgeni wa mtu mwenye dhambi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata watu walipoona, walinung'unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mtu aliliona hili na watu wakaanza kulalamika, wakisema, “Tazama aina ya mtu ambaye Yesu anakwenda kukaa kwake. Zakayo ni mwenye dhambi!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote walioona, wakaanza kunung'unika wakisema, “Amekwenda kuwa mgeni wa ‘mtu mwenye dhambi.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Amekwenda kuwa mgeni wa ‘mtu mwenye dhambi.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata watu walipoona, walinung'unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walioviona wakamnung'unikia wote wakisema: Ameingia nyumbani mwake mkosaji na kutua humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata watu walipoona, walinung’unika wote, wakisema, Ameingia kukaa kwa mtu mwenye dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote walioona hayo wakaanza kunungunika wakisema: “Amekwenda kupanga kwa mutenda maovu!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta watu walipoona wakanungʼunika wote, wakisema, ya kama, Ameingia akae kwa mtu mwenye dhambi.