Luke 2:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(kama ilivyoandikwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu”),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto mwanamume aliye kifungua mimba ya mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana),
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana: Mzaliwa wa kwanza akiwa mtoto wa kiume, atolewe wakfu kwa ajili ya Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Katika Sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Bwana kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Bwana”),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(kama ilivyoandikwa katika Torati ya Bwana Mwenyezi, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Bwana Mwenyezi Mungu”),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto wa kiume aliye kifungua mimba wa mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana),
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, ilivyoandikwa katika Maonyo ya Bwana: Kila mtoto mume atakayezaliwa wa kwanza na mama yake aitwe mtakatifu wa Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto mwanamume aliye kifungua mimba ya mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana),
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Imeandikwa katika Sheria ya Bwana: “Kila muzaliwa wa kwanza wa kiume atatolewa kwa Bwana.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(kama ilivyoandikwa katika sharia ya Bwana, Killa mume afunguae tumbo la mama yake aitwe mtakatifu kwa Bwana;)