Luke 2:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho Mtakatifu alikuwa amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho wa Mungu alikuwa amemfunulia kuwa hatakufa kabla hajamwona Al-Masihi wa Bwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alikuwa ameonywa na Roho Mtakatifu ya kwamba hataona mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Roho Mtakatifu alimwambia kwamba asingekufa kabla ya kumwona Masihi kutoka kwa Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Roho Mtakatifu alikuwa amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona Masiha wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho Mtakatifu alikuwa amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho Mtakatifu alikuwa amemfunulia kuwa hatakufa kabla hajamwona Kristo wa Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa Mwenyezi Mungu alikuwa amemfunulia kuwa hatakufa kabla hajamwona Al-Masihi wa Bwana Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alikuwa ameonywa na Roho Mtakatifu ya kwamba hataona mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho Mtakatifu alikuwa amemhakikishia kwamba hatakufa kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo alikuwa amefumbuliwa na Roho Mtakatifu kwamba: Hutaona kufa usipomwona kwanza Kristo wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alikuwa ameonywa na Roho Mtakatifu ya kwamba hataona mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alikuwa amemufunulia kwamba hatakufa mbele hajamwona Kristo wa Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae alikuwa amebashiriwa na Roho Mtakatifu ya kwamba haoni mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.