Luke 2:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Bwana Mungu Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa mruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Sasa, Bwana, niruhusu mimi mtumishi wako nife kwa amani kwa kuwa umeitimiza ahadi yako kwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa wamruhusu mtumishi wako aende zake kwa amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa wamruhusu mtumishi wako aende zake kwa amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, sasa unampa mtumwa wako ruhusa, aende zake na kutulia, kama ulivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sasa, Ee Bwana, umuruhusu mutumishi wako akufe katika amani, maana umetimiza ahadi yako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Sasa wamrukhusu, Bwana, mtumishi wako kwa amani, Kama ulivyosema: