Luke 2:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mtu alienda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mtu alikwenda katika mji aliozaliwa ili akahesabiwe na kuingizwa katika orodha hiyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wote waliohusika walikwenda kujiandikisha, kila mtu katika mji wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wote waliposhika njia za kwenda kuandikiwa kodi, kila mtu akaenda mjini kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote walienda kujiandikisha, kila mumoja katika muji wake wa kuzaliwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wote wakashika njia kwenda kuandikwa, killa mtu mjini kwake.